Tuesday, 20 January 2015

matunda

MACHUNGWA

APPLES
Nimatunda matamu sana lakini hayaoteshi hapa zanzibar.




SHOKISHOKI.
 Ni matunda mazuri yanayostawi sana hapa  zanziba na huvunwa msimu baada ya msimu ,ina ladha nzuri  nzuri na ya kipekeee.




ZABIBU .
 Ni matunda mazuri yanyopatikana tanzania .



No comments:

Post a Comment