Friday, 23 January 2015

Tuesday, 20 January 2015

HABARI MBALI MBALI

JENGO LA CHUO KIKUU CHA SUZA

JENGO HILI LIMEZINDULIWA NA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ,




KASIDA ZA KISWAHILI

ZANZIBAR KUNA VYUO VINGI HIVYO WATU HUTAFUTA WAVIPENDAVYO KWA AJILI YA HARUSI


matunda

MACHUNGWA

APPLES
Nimatunda matamu sana lakini hayaoteshi hapa zanzibar.




SHOKISHOKI.
 Ni matunda mazuri yanayostawi sana hapa  zanziba na huvunwa msimu baada ya msimu ,ina ladha nzuri  nzuri na ya kipekeee.




ZABIBU .
 Ni matunda mazuri yanyopatikana tanzania .